Huyu
jamaa Ndiye anayeshikilia Record ya Dunia Kwa sasa Kuwa Ndiyo mtu mrefu
zaidi Duniani. Jana amefunga Pingu za maisha. Chakushangaza zaidi
Kutokana na kukosa Mwanamke wa Kulingana naye jana alimake Headline
katika Mitandao kwa Kuchukuwa kimwana chenye Urefu wa Futi 2 na Nchi 7{World’s tallest man gets married to woman who is 2 feet, 7 inches shorter - } HAPA AKIPIGWA PICHA NA WAANDISHI WA HABARI KUTOKA NCHI MBALIMBALI Anaondoka na Kimwana Chake kama ilivyo ADA PANDE ZA UKUMBINI WAKILA BATA KAMA KAWAIDA KIPENGELE HIKI NI MUHIMU
0 comments:
Post a Comment