MAVITUZI SPECIALLY
Home
Thursday, 24 October 2013
"KIOO KILINIFANYA NIMVULIE NGUO SAJUKI KWA MARA YA KWANZA" WASTARA
23:53
No comments
Wastara amefichua siri kwamba kioo ndicho kilisababisha aanzishe uhusiano wa mapenzi na marehemu Juma Issa Kilowoko ‘Sajuki’ aliyefariki Januari 2, mwaka huu.
Wastara aliweka bayana kuwa marehemu Sajuki ambaye alikuwa mumewe, hakuwahi kumtongoza lakini kioo ndiyo kilikuwa chanzo kilichosababisha wajikute wameingia dhambini kwa mara ya kwanza.
Akizungumza na gpl, Wastara alisema kuwa siku hiyo walikuwa wakifanya mazoezi ya filamu moja (hakutaja jina) nyumbani kwake na Sajuki alikuwa muongozaji wa sinema hiyo.
“Ilikuwa ni usiku wa manane tukiwa nyumbani kwangu tukifanya mazoezi ya filamu moja, sasa ilikuwa ni scene ya mapenzi tukawa mbele ya kioo huku tumekumbatiana.
“Tukaendelea hivyoo, mmh! Sasa tulivyokitazama, tukahisi tunaendana. Tukaendelea kujifanyia tathmini na ghafla tukajikuta tunafanya kweli, kioo kilisababisha tukajikuta tunafanya mapenzi,” alisema Wastara kwa uso wa aibu
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Share to Pinterest
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Social Profiles
Popular
Tags
Blog Archives
WALIOTEMBELEA
Popular Posts
LAANA TUPU!!! PICHA ZA UCHI ZA BINTI WA KIBONGO ZAVUJISHWA NA BOYFRIEND WAKE MTANDAONI....! TAZAMA HAPA NI WAKUBWA TUUU!!!
Wadau poleni na kazi za leo,ok Utandawazi umeendelea kuwaangamiza dada zetu wanaopenda kuiga mambo wasiyoyajua.... Kat...
18+ ONLY..!FULL VIDEO YA LAANA..!UPDATES..WAFANYA MAPENZI KAMA ADHABU BAADA YA KUFUMANIWA..!ICHEKI HAPA..!
Habari hii mwanzo ilikua na picha tu bila video, timu ya Kandili Yetu inakuletea video nzima ya tukio hilo mwanzo mwisho.....
LULU AKIRI KULIWA TIGO
Dar es Salaam,Tanzania WAKATI kukiwa na kashfa nzito kuwa wanawake mbalimbali wakiwemo, wasanii wa wakike nchini Tanzania, kujihusisha na...
HAYA NDIO YALIYOJIRI KWENYE MKESHA WA MWAKA MPYA: UFUSKA WATAWALA..!!
Ndani ya chumba kimoja walinaswa wasichana wakiwa nusu uchi na wavulana wao, huku waki subiri mwaka mpya. Kwenye chuo kimoja ki...
WAKUBWA TUU...LAANA..MENEJA WA BENKI APIGA PICHA ZA UCHI OFISINI NA KUZIACHIA MTANDAONI(+18).....!!!
Picha hapo juu zinamwonyesha mwanamke mmoja ambae ni meneja katika taasisi flani ya kifedha,Mwanamke huyo ana tuhumiwa kuwa na mahusian...
Powered by
Blogger
.
Blog Archive
Blog Archive
January (1)
December (111)
November (57)
October (52)
0 comments:
Post a Comment