Alitamka haya kwenye chombo kimoja ,
huku akidai ya kwamba amekuwa single kwa muda mrefu sana na sasa yuko
tayari kuolewa na angefurahi sana kama angepata kidume kutoka Tanzania
kwani alishawahi kufika tanzania, huku akitoa sifa kem kem kwamba
wanaume, wa Tanzania ni wakarimu, wapole pia wanajali sana tofauti na
wengine ambao nimeshawahi kukutanana nao. HAYA WADAU KAZI KWENU...!!
0 comments:
Post a Comment