Muziki wa Afrika mashariki ulikuta na muziki wa Afrika Magharibi kwa
mara nyingine baada ya Davido na Diamond kuingia studio na kufanya remix
ya wimbo My number one. Wimbo huo wali-perform kwa mara ya kwanza
kwenye show ya fiesta iliyofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders
club.Bado taarifa za uwezekano wa wawili hao kufanyia video huo wimbo
hazijatoka
Show ya pamoja kati ya Diamond na Davido ilikuja baada ya show kali
aliyofanya Davido ambayo ilivutia wapenzi wengi wa muziki waliofika
kwenye uwanja wa Leaders kwa ajili ya kuangalia performance za wasanii
ambao hawakuweza kupanda usiku wa Jumamosi.

0 comments:
Post a Comment