Tuesday, 29 October 2013

TAZAMA PICHA 3 ZA GARI LA MADAM RITHA BOSS WA BSS LILIVYOTEKETEA KWA MOTO..

  
 Mkurugenzi na judge wa bongo star search Rita Poulsen amepata hasara kubwa baada ya gari lake aina ya mercedes benz kuteketea kwa moto.
 
Madam Rita hakupatikana kuelezea chanzo kilichopelekea gari yake kuteketea kwa moto.
 
https://scontent-b.xx.fbcdn.net/hphotos-prn1/q71/66793_218914644950489_1141283958_n.jpg

0 comments:

Post a Comment