00:20
Wadada wawili Warembo wa Mitaa ya kawe waliamua kuzichapa kavu kavu
bila maglovsi mbele za watu kwa eti mmoja akimtuhumu mwenzie kuwa
anatoka na Boyfriend wake...Inasemekana hawa madada ni marafiki sana
lakini leo yamewashinda baada ya kuchangia bwana mmoja ...
0 comments:
Post a Comment