
Leo kupitia ukurasa wa mtandao mmoja wa kijamii Huddah aliandika ujembe huu kwa Diamond huku akiweka picha ya mwanadada Wema Sepetu...
Too fresh @diamondplatnumz ,huyu Dame wako ,kipenzi chako.For life ,let nobody tell u otherwise.Hao wengine wapita njia tuu .God bless the two of u.RIP to her dad,I know how it feels to lose someone so dear to u.Take heart Ms Boss.I heart you!
Akimaanisha...
Huyu ndio msichana wako, kipenzi chako cha maisha. Usiruhusu mtu mwingine akwawambie vingine. Hao wengine wapita njia tuu. Mungu wabariki nyie wawili. Apumzike kwa amani baba yake. Najua ilivyo kumpoteza mtu wa karibu sana kwao. Kaza moyo Ms. Boss (Wema). Nakujali/nakupenda.
0 comments:
Post a Comment