Tuesday 31 December 2013

TAZAMA MAUNO YA SNURA USIKU WA MWAKA MPYA 2014 DAR LIVE BALAA TUPU

Snura Mushi na kundi lake wakifanya makamuzi katika usiku wa mwaka mpya 2014 ndani ya Dar Live.
Snura akisema na mashabiki wake.
Wanenguaji wa Snura wakiwa kazini.
Snura na kundi lake wakizidi kupagawisha mashabiki wa Dar Live.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY / GPL)

0 comments:

Post a Comment