Friday, 25 October 2013

KWA MARA YA KWANZA HII NDIO ONLINE DATING WEBSITE INAYO WAKUTANISHA WAPENZI HAPA TANZANIA


Kukutana kimapenzi kwenye mtandao sasa imekuwa rahisi kupitria mtandao wa www.hupendo hapa Tanzania
Mwezi wa kumi zaidi ya watu 70,000 wamekutana na kuongea kuhusu mapenzi katika mtandao huo mahiri wa www.hupendo.com

Mapenzi ya kukutana mitandaoni kwa kupitia website sio mageni hapa Duniani ila ni mapya hapa Tanzania..Leo hii tunavyoongea hapa inakadiriwa kuwa asilimia 25% ya mahusiano mapya ya mapenzi huko Uingereza yameanzia kupitia mitandao ya kukutanisha wapenzi .

Hupendo.com imejikita kuwasaidia maelfu ya watanzania kutafuta wapenzi wa maisha yao iwe mume/mke/boyfriend au Girlfriend kupitia mtandao huo

Tafadhali Tembelea www.hupendo.com inawezekana kuna mtu anakusubiri huko ili uwe mpenzi wake....

0 comments:

Post a Comment