Picha hapo juu zinamwonyesha mwanamke mmoja ambae ni meneja katika taasisi flani ya kifedha,Mwanamke huyo ana tuhumiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wafanyakazi wake wawili.
Baada ya mfanyakazi mmoja kugundua kuwa bosi wake anatoka na mfanyakazi mwingine ambae ni rafiki yake wa karibu ,ndipo jamaa aliyekuwa wa kwanza kuwa na mahusiano na bosi huyo alianzisha ugomvi mkubwa kutokana na wivu wa kimapenzi hatimaye ugomvi huo ukasababsha uhusiano wa kimapenzi kati yake na bosi huyo uvunjike.
Lakini baada ya ugomvi huo jamaa huyo hakuweza kuvumilia kuona mpenzi wake anatoka na mtu mwingine ambae ni swahiba ake wa karibu,ndipo kwa hasira alipo amua kumwalibia bosi huyo kwa kuweka picha chafu za ngono walizokuwa wakipiga wakati wa enzi zao katika mitandao mbalimbali na UdakuBiz tuna baadhi tu ya picha tulizoweza kuzinasa.
0 comments:
Post a Comment