Tuesday, 12 November 2013

Nimetundika video camera chumbani ktk ceiling board.mpenzi wangu hajui hlo,ninasafari... NAOMBENI USHAURI(MDAU)



 

Habari zenu?Yeah, leo ninaondoka kwenda nje ya mji wa dar ninaenda mkoani kikazi na nitakaa huko kwa takribani wk 2.Kama msemo usemao,ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO,basi nimefanya uamuzi wakuset video camera ktk ceilingboard ya chumbani kwangu.Kwanini nimefanya hivi?Ni kwasababu tu kuna lumors nimewahi kuzipata kutoka kwa rafiki yangu wa karibu kwamba kuna kaserengetiboy kanamtafuna mke wangu.Sijawahi kumfumania hata sikumoja na hata sijawahi kumjuza yale niliyoambiwa na rafiki yangu awali,ila sasa nafanya tactics,ili nijue ukweli wake kwakuset v/camera bedroom,ili nijue kama ni kweli au la!Kutokana na tetesi hyo kwamba mke wangu anatabia yakukapenyeza hako kaserengeti boy hadi chumba changu chakulala.Sasa nikibaini kwamba nikweli, mtamsikia ufoo saro mwingine kwenye magazeti baada ya wiki tatu. I SWEAR FOR REAL, i gonna butchering all.


0 comments:

Post a Comment