Akiongea
na wanahabari leo mchana kamanda kova kasema hawawezi kumuita Mhe.
Kapuya kasababu haya ni mambo yake binafsi na hakuna mtu yeyote ambaye
amakuja hapa polisi kulalamika kutendewa vibaya na Mhe. Kapuya.
"hata hivyo kamanda kova kasema kama kuna ushahidi wowote wa kueleweka sio kusingizia mtu vituo vya polisi viko wazi masaa 24"
"hata hivyo kamanda kova kasema kama kuna ushahidi wowote wa kueleweka sio kusingizia mtu vituo vya polisi viko wazi masaa 24"