Producer Pharrell
Williams alishawahi kukiri kuwa alipata maumivu makali sana wakati
anafuta tatto alizochora wakati wa ujana wake na akajutia kitendo hicho.
Alikuwa muoga wa magonjwa atakayopata baada ya tattoo kufutwa na mionzi
mikali kwenye mwili wake inayoweza kusababisha saratani na magonjwa
mengine.
Picha Zingine Ziko Hapa
Picha Zingine Ziko Hapa
Huyu ni mwigizaji Matt" Damon alijichora tattoo kabla hajawa B list Super Star wa filamu marekani na kuamua kuifuta ili kujenga heshima zaidi.
Jamaa aliweka midomo ya rapper Trina kwenye shingo yake wakati wako pamoja na baada ya kuachana nae alibidi afute tattoo, Maumivu yake sasa.
Baada ya kuachana na mke wake Jennifer Lopez, Mac Anthony alibidi afunike tattoo ya jina la Jennifer na kitu kingine. Aliogopa maumivu ya kufuta.
50 Cent kashazoea kufutwa na kuchora tattoo zingine kwenye maisha yake. Akiwa na jambo jipya huongeza tatto anavyo jiskia.
0 comments:
Post a Comment