Wednesday, 4 December 2013

BAADA YA KUPIGWA MADONGO NA SINTA KUWA AMEFULIA, MANGE KIMAMBI APIGA PICHA KWA LENGO LA KUWAONYESHA WABAYA WAKE, ITAZAME HAPA

 
 Mange Alikuwa Arusha Ambapo Alipeleka Vitu vya Kuuza Kutoka Ulaya Hizo ndio Picha na Maneno aliyoandika kwenye Website yake.......... HIKI NDICHO ALICHO ANDIKA.... "NYIE WALALA HOI MIE SIHESABU MATUSI NAHESABU MAHELAAAAAAAA... 
MKIMALIZA KUTUKANA NJOONI NIWAPE AJIRA.....LOLEST!!!!! 
SIJIBISHANI NA WACHOVU........... 
NDO KWANZAAAAA NATENGEZA MAHELAAA NA MUME ANANISUBIRI KWA HAMU, 
MTACHONGA SANA HAACHWI MTU NA BONGOLICIOUS NDO MAMBO YOOOOTE....... 
MWAKA HUU MTAISOMA NUMBERRRR....... 
HATA MUONGEE NINI MIE NDO MANGE KIMAMBI NA MTAENDELEA KU KISS THE 
GROUND I WALK ON........." Says Mange

0 comments:

Post a Comment