Tuesday, 17 December 2013

DADA WA NDANI AFUKUKUZWA KAMA MBWA KWA KUMTEGA MTOTO WA BOSI.


http://www.theclicktz.com/
Dada huyu ajulikanae kama Aisha alifukuzwa na bosi wake baada ya kugundulika kuwa anamtaka kimapenzi mtoto mdogo wa nyumbani hapo, dada huyo alipata aibu ya mwaka alipokutwa bila nguo chumbani kwa mtoto huyo ambaye ni mdogo sana mwenye umri wa miaka kumi na tatu, dada huyo alikuwa akijaribu kumrubuni mtoto huyo ili afanye nae mapenzi.

0 comments:

Post a Comment