Monday, 16 December 2013

HII NI MIPASUO AU MIPASUKO JAMANI..!!

http://www.theclicktz.com/
Hizi staili za nguo siku hizi zina zidi sasa, Mipasuo ilikuaga ni ya kawaida isiyo zidi hata urefu wa rula lakini sasa hivi sio mipasuo tena ni balaa.

0 comments:

Post a Comment