Jacqueline Wolper akitoa hotuba fupi katika mahafali hayo.
Akigawa vyeti kwa wahitimu.
Wolper katika picha ya pamoja na wahitimu.
Akiwa na walimu wa shule hiyo.
MSANII wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper jana alikuwa mgeni rasmi
katika mahafali ya shule ya chekechea ya St. Mathew iliyopo maeneo ya
Kinondoni Hananasif jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment