ANAITWA
Sarah Massey mama wa watoto wawili mkazi wa Chicago nchini Marekani,
amejitokeza kama mwanamke mwenye umbo kubwa zaidi sehemu ya makal**o.
Sarah
ambaye amewahi kuvunja choo mara tu baada ya kukikalia, ana mzunguko wa
futi 7 ambapo mara kadhaa amekuwa akipata shida kupita mlangoni.
Hata hivyo mwanamama huyu mwenye umri wa miaka 33 anasema anajivunia kuwa mmoja wa wanawake wenye ‘figa’ la kufa mtu hapa ulimwenguni.
0 comments:
Post a Comment