Thursday 5 December 2013

MAJANGA: MKE ANASWA AKIJIUZA NA MUMEWE BAADA YA KUJIFANYA MTEJA NA KUSIMAMISHA GARI


http://theclicktz.com/
Dada huyu ambaye ni mke wa mtu alidakwa live na mume wake ambaye pia alijifanya mteja na kuja na gari alipofika eneo la tukio mke wake alikuja haraka huku akidhani ni mteja ili waweze kuelewana mara kumbe ni mume wake mwanamke aliishiwa pozi na kuanza kulia.

0 comments:

Post a Comment