Msanii wa kike wa kundi la vituko show ajulikanaye kwa jina la
Lissa Mlaki amejikuta katika aibu ya mwaka baada ya picha alizopiga
akiwa utupu kuvuja mtandaoni...
Tabia hii ya wasanii kuingia
katika wimbi la kuiga mambo nakujikuta wakijidhalilisha limeongeza
ambapo mpaka ivi sasa kila kukicha picha za wasanii za utupu zimezidi
kuongezeka bila kujulikana sababu za msingi.
0 comments:
Post a Comment