Ngoma za asili hapa kwetu Tanzania, zimeonekana kupoteza maana yake
wakati nchi za wenzetu hujivunia sana na hata kucheza na kuzitumia
kwenye shughuli fofauti. Nchini Jamaika ngoma hizi za asili na muziki
pia, vimekuwa vikithaminiwa sana. kila miezi ya kumi na mbili watu
hukusanyika na kucheza ngoma na nyimbo zao hii hudumisha utamaduni na
uzalendo.
0 comments:
Post a Comment