Sisi ni majirani tumetokea kuzoeana tu kidogo kwakuwa mwenzangu yeye ni
mwenyeji mimi nimemkuta tu hapo nilivyo hamia, lakini naona kama kuna
mazoea fulani ya ajabu, hii ni mara ya tatu huyu dada ananiomba nimpige
picha tena akiwa amevaa kiajabu ajabu, siku nyingine anadiriki hata
kunigongea chumbani kwangu ili nitoke tu nimpige picha halafu aendelee
na shughuli zake. sasa imekuwa kero Simuelewe kabisaaaa....!!
0 comments:
Post a Comment