Msichana huyu alienda bar fulani na kukutana na watu ambao hata yeye pia
hawafahamu na walianza kunywa wote na baadae alipoenda chooni aliwekewa
madawa ya kulevywa nakushtuka asubuhi akiwa bado kwenye bar hiyo akiwa
hana kitu hana hata nauli watu wamechukua. Noma sanaa.
0 comments:
Post a Comment