Friday, 20 December 2013

HII KALI: JAMAA ATOA FUNGU LA MCHICHA KWA MPENZI WAKE KAMA ZAWADI YA CHRISMASI


www.theclicktz.com
Zawadi ni zawadi haswa pale inapotoka moyoni, watu wengi huwaza sana kipindi hiki ni nini cha kumpa mpenzi wake au amfanyie nini mwenza wake ila kidogo kinatosha hata fungu la mchicha tu ni zawadi. NOMA SANAAA..!!

0 comments:

Post a Comment