Friday, 20 December 2013

KWELI MTEJA MFALME: KONDA AAMUA KUVUSHA ABIRIA WAKE KWA KUWA BEBA MGONGONI BAADA YA GARI YAKE KUZAMA KWENYE TOPE..!!


http://theclicktz.com/
Mvua zinazo endelea zinaleta majanga angalia konda huyu anayetoa huduma bomba kwa wateja wake, aamua kuwa beba mmoja mmoja mgongoni baada ya gari yake kuzama kwenye tope. Mteja Mfalme aiseee...!!

0 comments:

Post a Comment