Jamaa alijikuta anapata kichapo kikali kutoka kwa mke wake baada ya
kumuonyesha jeuri ya kutorudi nyumbani mapema na kuchelewa kila siku
huku akiwa amelewa, siku moja alirudi usiku huku akitukana mwanamke
alichuma fimbo na kuanza kumtembezea bakora kama mtoto.
0 comments:
Post a Comment