Janga hili la mashoga linazidi kuongezeka vijana wenye nguvu na akili
timamu wanaamua kuwa mashoga. na kujishughulisha na biashara ya kujiuza,
hii ni laana au ni nini, wengine wamezaliwa na kukuwa na tabia hizo na
wengine hujifunza tabia hizo kutokana na malezi. Je kifanyike nini
kukabiliana na janga hili?
0 comments:
Post a Comment