Ilikuwa kwenye show ya
kichwaji cha GRAND MALT maeneo ya karumeshida ilianza pale mkali wa
viuno mwanadada snura alivyopanda jukwaaani hali ilikuwa si shwali
kabisa pale wauza mitumba waliaamua kupiga shangwe za hatari na kutaka
mpaka kumshika snura kwa balaa alilolifanya. show ilivyoisha alitumia
lisali moja na nusu kutoka kaatika uwanja huo kila mtu alitamani
kumshika kila mtu alitaka kupiga nae picha. angalia video hapo chini
hali ilivyokuwa.
ni shida kwa kweli huyu dada.
0 comments:
Post a Comment